Wednesday, 17 November 2010

DIAMOND AT AMBASSADOR


Salam,
Utawala na wafanyakazi wa URBAN PULSE wakishirikiana na Tanzania Community Europe wana penda kuwatangazia washabiki wte wa Diamond UK na watu wote wanao support kampeni ya vita na Malaria ya kuwa kunabadiliko ya lazima yaloyotokea kuhusu show ya Diamond ya tarehe 27 November Birmingham. Kwamba kutokana na idadi kubwa ya watu wanaotegemea kujitokeza siku hiyo imebidi ukumbi ubadilishwe ili uweze kukidhi idadi yao,Kwa hiyo jambo hili limepelekea  ulazimu wa kubadilisha kumbi  kwenda 

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA
 
Pia Show Nyingine itakuwa 26th November 2010
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ

 
Mabadiliko haya ni ya lazima na tunaomba radhi kwa ufumbufu wowote utakojitokeza

WOTE MNAKARIBISHWA

Utawala
URBAN PULSE

No comments:

Post a Comment